Новости больницы Ампола Тасахтаа
Следуйте за нами в социальных сетях, чтобы быть в курсе последних новостей
Ndugu tunaomba kura yako kwa wataalamu wetu hawa, tunatanguliza neno asante na kusema kura yako ni muhimu sana.
1. Salma Ali Rashid (Woman in Healthcare)
2. Dr. Ahlam (Woman in Healthcare)
3. Dr Ahlam (Woman in Science)
Bonyeza link hii hapa https://zwrawards.co.tz/vote/ ili uweze kuwapigia kura.
https://zwrawards.co.tz/vote/
1. Salma Ali Rashid (Woman in Healthcare)
2. Dr. Ahlam (Woman in Healthcare)
3. Dr Ahlam (Woman in Science)
Bonyeza link hii hapa https://zwrawards.co.tz/vote/ ili uweze kuwapigia kura.
@ikulu_habari @mohznz @zwrawards
...
Every year our Ampola Hospital produces winning managers, synonymous with a Company truly dedicated to the development of interpersonal skills of each individual employee and focused on people strategy. Ampola Hospital is a company`s approach to recruiting, retaining, and engaging its workforce to be aligned with achievements.
#executive #business #luxury #ceo #b #leadership #forsale #money #cars #boss #lagos #sales #nigeria #a #luxurylifestyle #exclusive #auto #success #selling #work #motivation #affordable #ambition #hustle #entrepreneur #autosale #buyacar #carsale #autosalenaija #toyota@uwesu_saidtz @yunus_mwarab @calzavara.luca
...
Hospitali imeboresha idara na huduma za dharura.
Tumejipanga kuhudumia wagonjwa wa ajali na dharura.
Idara ya huduma za dharura ina wataalamu waliobobea na wakiongozwa na Daktari bingwa kwa lugha ya kigeni anaitwa emergency physician, pia tuna vifaa tiba vya kisasa vinavyohitajika kuwapo idara ya dharura na pia zipo ambulance mbili ambazo zipo standby muda wote kwa ajili ya kufata na kusafirisha majeruhi na wagonjwa wanaougua ghafla.
#emergencydepartment #emergencymedicine #emergencyroom #trauma #nurselife #traumaninjas #pharmacist #criticalcare #miamiem #pharmacyresident #miamitrauma #pharmacylife #pharmacystudent #theedtraumacist #nursing #pharmsohard #pharmlife #pharmvida #pharmtiana #pharmassist #nurse #ernurse #covid #kkm #sueffiattire #tailoringservice #otscrub #bajuskrub #emergency #bajuscrub
...
Moja ya jukumu la hospitali binafsi ni kusaidia juhudi na kutekeleza sera za afya ya serikali, sera kubwa ni kuhakikisha wananchi wanapata afya bora na elimu ya kujikinga na maradhi ili waweweze kufanya shughuli za uzalishaji na kupelekea ustawi wa familia hadi taifa kiuchumi.
Tunawashukuru taasisi ya uhamiaji ofisi za makao makuu unguja zanzibar kwa kukubali ombi letu la kuwatembelea na kutoa elimu ya masuala ya afya ya akili, lishe bora na tulifanya uchunguzi wa macho kwa baadhi ya watumishi waliopata nafasi kuhudhuria.
Sisi kama ampola tasakhtaa hospitali kitengo cha masuala ya kijamii tumejiwekea utaratibu kila mara kutoa huduma hizi na zenginezo kama kambi mbalimbali za madaktari bingwa kwa jamii bure bila malipo ili kusaidia jamii kujua hali zao za afya na kuweza kuchukua hatua mapema za kuanza matibabu pale watakapokutwa na shida.
Na nitoe wito/taarifa kwamba mwezi wa 12 tunatarajia kuwa na kambi ya siku saba ya madaktari bingwa wa mifupa kutoka quba, dubai na hapa nyumbani wakitoa huduma bure za uchunguzi wa matatizo ya mifupa bure na matibabu yatakayofanyika kwa bei pungufu. Kambi hii itafanyika hapa ampola eneo la wazi ambapo kutawekwa mahema kuanzia tarehe 11 hadi tarehe 17 mwezi 12. Atakayepata taarifa hii amjulishe na mwenzake. Kwa mawasiliano piga 0778 679 414 au fika ampola hospifali idara ya masoko ujiandikishe mapema.
#zanzibar #tanzania #africa #travel #beach #travelphotography #love #ocean #travelgram #holiday #zanzibarisland #paradise #instatravel #wanderlust #sea #nature #instagood #photography #island #photooftheday #vacation #sun #indianocean #summer #travelblogger #sunset #picoftheday #hakunamatata #beautiful #travelling
---
...
Watu huchukua umiliki wa ugonjwa na maradhi kwa kusema mambo kama vile shinikizo langu la damu, KISUKARI changu, ugonjwa WANGU wa moyo, mfadhaiko WANGU, WANGU! YANGU! YANGU! Usiimiliki kwa sababu sio yako.
Kwa pamoja, tunaweza kuleta mabadiliko katika vita dhidi ya kisukari. Tuhamasishe, tutetee upatikanaji wa matunzo, na tuwasaidie wanaoishi na kisukari.
Ampola tumeweka kambi ya kufanya upimaji wa ugonjwa kisukari na elimu ya lishe bora kwa wagonjwa wa kisukari na shinikizo la Damu.
#diabetes #type #worlddiabetesday #t #diabetesawareness #diabetestype #diabetesawarenessmonth #diabetesmanagement #diabetescare #diabetesdiet #diabetic #diabetestipo #diabetesprevention #d #diabetesfood #diabeteslife #diabetescommunity #gestationaldiabetes #diabetessupport #typeonediabetes #diabetesmellitus #prediabetes #obatdiabetes #wdd #diabetessucks #diabetesuk #diabeteseducation #diabeticrecipes #diabetesempowered #diabetestyp
...
Zaidi ya yote, nia yangu kwako ni hii: Kwamba siku zako za giza za kutisha zinapokuja, utajua hauko peke yako. Maumivu yatakuambia ukae kimya, lakini huo ni uwongo. Maisha ni dhaifu na sote tunavunjika kwa njia tofauti. Natumai unajua unaweza kuwa mkwel na kusema yanayokusibu. Natumai unajua kuwa unaweza kuomba msaada. Je, unafaham hilo? Ni sawa kabisa kuomba msaada. Na haimaniish kuwa wewe n dhaifu, Inamaanisha tu kuwa wewe ni mwanadamu. Msaada ni wa kweli na inawezekana; watu hutafuta msaada kila siku. Haupo pekee ako, na pia watu wanahitaji watu wengine kweny maisha ni jambo la kawaida.
"Afya ya akili ni Tiba ya Kisaikolojia ni haki kuu ya Binadamu".
#психическое здоровье #психическое здоровье осознанность #забота о себе #любовь к себе 1TP5Тревога #любовь #психическое здоровье имеет значение #депрессия #мотивация 1TP5Здоровье 1TP5Хорошее здоровье 1TP5Внимательность 1TP5Исцеление #фитнес #жизнь 1TP 5Tлюбить себя #терапия 1TP5Вдохновение 1TP5Счастье #мышление #позитивность #позитивная атмосфера #цитаты #медитация #психические заболевания #психология 1TP5Хорошее самочувствие #выздоровление #instagood 1TP5Счастливый
...
Je Unajua?
Kulingana na utafiti uliofanywa na shirikisho la ugonjwa wa kisukari Duniani.
"Katika kila watu kumi mtu mmoja ana ugonjwa wa kisukari".
Na ripoti ya kambi rasmi za afya zinazofanyika hapa zanzibar zinaonesha watu wengi wenye umri miaka 35 kuendelea wamegundulikana na ugonjwa wa kisukari ila hapo kabla hawakuwa wanajua hali zao.
Wataalam wanashauri watu kufanya uchunguzi mara kwa mara wa afya zao kwa magonjwa ya kisukari kwani ugonjwa huu unapatikana kwa kutokana na kuridhi na zaidi mtindo wa maisha yaani namna tunavyokula vyakula bila kufata utaratibu wa lishe bora na kupelekea kupata magonjwa haya.
Kambi ya kisukari na elimu ya lishe itafanyika hapa eneo la wazi la hospitali na kutatolewa bure upimwaji wa kisukari na kupatiwa elimu ya lishe kwa wagonjwa na wasio wagonjwa, kwa sababu ukiweza kujua namna ya kula kwa kufata lishe bora utazuia kupatwa na ugonjwa wa kisukari na pia kama unao teyari utaweza kuishi nao na kuwa na uwezo kufanya shughuli zako za kila siku.
Karibuni wote kwenye kambi hii, itakuwa bure yaani bila malipo,
SIKU; Tarehe 14/11/2023
ENEO; Eneo la wazi katika hospitali ya Ampola Vuga mji mkongwe
#diabetes #type #worlddiabetesday #t #diabetesawareness #diabetestype #diabetesawarenessmonth #diabetesmanagement #diabetescare #diabetesdiet #diabetic #diabetestipo #diabetesprevention #d #diabetesfood #diabeteslife #diabetescommunity #gestationaldiabetes #diabetessupport #typeonediabetes #diabetesmellitus #prediabetes #obatdiabetes #wdd #diabetessucks #diabetesuk #diabeteseducation #diabeticrecipes #diabetesempowered #diabetestype2
...
Kwa nini unahitaji kuangalia macho yako?
Uchunguzi wa kina unaweza kugundua matatizo makubwa kama vile kisukari, lupus, shinikizo la damu, cholesterol ya juu na magonjwa ya macho kama vile glakoma na kuzorota kwa macular." Kwa uchunguzi wa mara kwa mara wa macho, unaweza kugundua matatizo haya mapema na kuepuka matatizo makubwa.
mnamo tarehe 8th Novemba tulitembelea TRA zanzibar na kuweka kambi ya uchunguzi wa afya ya macho kwa wafanyakazi. lengo ni kusaidia wafanyakazi kwani muda mwingi wanafanya kazi za kutumia computer na hawapati nafasi kufika hospitali kufanya uchunguzi wa macho yao. kwa hii kambi imewasaidia watumishi wenye shida za macho ambazo hazijakuwa kubwa kugunduliwa na kushauriwa kuanza matibabu mapema. wataalam tunashauri watu kufanya uchunguzi wa afya ya macho yao mara kwa mara.
1TP5Больница #доктор #медицина #covid #медицина #медсестра 1TP5Здравоохранение 1TP5Здравоохранение #врачи #хирургия #медицина #коронавирус #медицина 1TP5Хирург #Сестринское дело #nur selife #clinica #salud #o #medstudent #medicalstudent #медсестры #a #love #medschool #bhfyp #saude #enfermagem #medicos #medlife
...
Kila mwaka wazanzibari husafiri kwenda India na kwenginenko kwa upasuaji wa Mifupa na Uti wa mgongo.
Tunaelewa kuwa hii inaweza kuwa changamoto kwa watu wengi kwa sababu ni chaguo ghali zaidi kuliko upasuaji wako kufanywa hapa Zanzibar.
Hii ndiyo sababu Ampola Tasakhtaa Hospital tumealika madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa kutoka Cuba na Dubai kuja kuwasaidia wagonjwa wetu wote kwa matibabu wanayohitaji.
huduma itaanza tarehe 11 - 17 Disemba 2023, ili kufanya kambi ya kina wa nyonga na mifupa.
1: Uchunguzi
Uchunguzi ni hatua muhimu zaidi katika matibabu. Huu ndio utaratibu ambao utawawezesha madaktari kuelewa na kupima hasa tatizo liko wapi na kisha kuamua juu ya asili na muda wa upasuaji.
2. Upasuaji
Kulingana na uchunguzi uliofanyika, madaktari watapanga ratiba ya kufanya upasuaji kwa wagonjwa.
Kambi nzima imeandaliwa na Ampola Tasakhtaa Hospital kwa kuzingatia mahitaji ya wagonjwa. Tunaamini katika kutoa huduma bora na matibabu kwa kila mtu ambaye anaweka imani yake kwetu. Tuko hapa kutoa huduma kamili na njia sahihi ya kupona kwa wagonjwa wetu.
KAMBI ITATOA MATIBABU KWA WAGONJWA WAFUATAO:
1. Maumivu ya Shingo
2.Maumivu ya mgongo
3. Taratibu za Upasuaji wa Mgongo
4. Matatizo ya Uti wa Mgongo
KWA NINI UJE KAMBINI?
Maumivu ya mgongo ni jambo ambalo linajidhihirisha katika 67% ya raia wa Kiafrika na karibu 72% ya idadi ya watu duniani. Ingawa sababu za udhihirisho kama huo zinaweza kuanzia kasoro za kuzaliwa hadi majeraha yaliyopatikana kwa muda, ni muhimu sana kutibu kwa njia sahihi kwa wakati unaofaa. Kupuuza maumivu ya mgongo na matatizo mengine ya mgongo kama vile kukakamaa na mionzi ya maumivu kunaweza kufanya hali kuwa mbaya zaidi.
Ikiwa unaona mojawapo ya dalili zifuatazo, lazima uzungumze na wataalamu wetu:
1. Maumivu ya muda mrefu ya mifupa
2. Maumivu yanayotoka nyuma kuelekea miguu
3. Ugumu katika mgongo wa juu
4. Maumivu ya asubuhi
5. Hisia ya jumla ya uchovu au uvivu kwa sababu ya mgongo
6. Maumivu makali kwenye bega
...
Kwetu maoni/shuhuda nzuri au mbaya tunazichukua na kuzifanyia kazi.
Tunaendelea kupokea maoni yenu kuhusu huduma zetu.
#обслуживание клиентов #опыт работы с клиентами #удовлетворенность клиентов #бизнес #клиент 1TP5Счастливый клиент #оценка клиентов #маркетинг #малый бизнес #продажи #обратная связь с клиентами 1TP5Обзор #отзывы клиентов 1 TP5Tсервис #любовь #обратная связь 1TP5Отзывы #happycustomers #клиенты #отзывы #обслуживание клиентов #следуйте #предприниматель #instagood #спасибо #колл-центр #технологии #мода #realest съел #work
...
Ampola Tasakhtaa Hospital and @zanzibar_waterfront _residence we are at WTM London where the brightest minds, most innovative companies and leading industry experts come together to change the way the world explores, connects, and experiences travel. Will you be there?
Everything you need to know in one place, WTM is the easiest and most creative way to get online, saving time, money and effort on the go. Join this exciting and influential community at the heart of the global travel industry.
6-8 November 2023, ExCeL London
#wtmlondon #ideasarrivehere #wtm #travel #tourism #tradeshow #events #exhibition #excellondon #london
...

Больница Ампола Тасахтаа
Лучшая специализированная больница для качественного лечения по доступной цене
Ndugu tunaomba kura yako kwa wataalamu wetu hawa, tunatanguliza neno asante na kusema kura yako ni muhimu sana.
1. Salma Ali Rashid (Woman in Healthcare)
2. Dr. Ahlam (Woman in Healthcare)
3. Dr Ahlam (Woman in Science)
Bonyeza link hii hapa zwrawards.co.tz/vote/ ili uweze kuwapigia kura.
Ikulu Zanzibar Wizara ya Afya Zanzibar @zwrawards
... Узнать большеСм. меньше
Every year our Ampola Hospital produces winning managers, synonymous with a Company truly dedicated to the development of interpersonal skills of each individual employee and focused on people strategy. Ampola Hospital is a company's approach to recruiting, retaining, and engaging its workforce to be aligned with achievements.