Actualités de l'hôpital Ampola Tasakhtaa

Suivez-nous sur les réseaux sociaux pour les dernières nouvelles

Ndugu Mkaazi wa Zanzibar! Hii siyo ya kukosa.
KAMBI YA MATIBABU YA MIFUPA NA MATATIZO YA MGONGO ITAKAYOFANYIKA TAREHE 11 - 15 / 12 / 2023

WATAKWEPO MADAKTARI BINGWA WA MIFUPA KUTOKA CUBA, DUBAI NA TANZANIA.

HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA;
1. UCHUNGUZI WA MATIBABU YA MIFUPA YA WATOTO NA WATU WAZIMA
2. MATIBABU YA MATATIZO YA MISULI
3. UPASUAJI WA NYONGA NA MISULI
4. UREKEBISHAJI WA MIGUU KUPINDA
5. KUCHOMA SINDANO ZA PLASMA KWA MAUMIVU YA MISULI, MABEGA NA MAGOTI
6. MATIBABU YA MAUMIVU YA MGONGO
7. MATIBABU YA MIFUPA ILIYOVUNJIKA
8. MATIBABU YA MIFUPA YA WATOTO ILIYOVUNJIKA
...

4 0

Chaque année, notre hôpital Ampola produit des managers gagnants, synonymes d'une entreprise véritablement dédiée au développement des compétences relationnelles de chaque employé et axée sur la stratégie humaine. L'hôpital Ampola est l'approche d'une entreprise pour recruter, fidéliser et engager sa main-d'œuvre afin de l'aligner sur ses réalisations.

#executive #business #luxury #ceo #b #leadership #forsale #money #cars #boss #lagos #sales #nigeria #a #luxurylifestyle #exclusive #auto #success #vente #work #motivation #affordable #ambition #hustle #entrepreneur #autosale #buyacar #carsale #autosalenaija #toyota@uwesu_saidtz @yunus_mwarab @calzavara.luca
...

15 0

Hospitali imeboresha idara na huduma za dharura.
Tumejipanga kuhudumia wagonjwa wa ajali na dharura.
Idara ya huduma za dharura ina wataalamu waliobobea na wakiongozwa na daktari bingwa kwa lugha ya kigeni anaitwa médecin d'urgence, pia tuna vifaa tiba vya kisasa vinavyohia o zipo standby muda wote kwa ajili ya kufata na kusafirisha majeruhi na wagonjwa wanaougua ghafla.

1TP5Département d'urgence 1TP5Médecine d'urgence 1TP5Salle d'urgence #traumatisme #nurselife #traumaninjas #pharmacien #soins critiques #miamiem #pharmacyresident #miamitraumatisme #pharmacylife #pharmacystudent #theedtraumac ist #nursing #pharmsohard #pharmlife #pharmvida #pharmtiana #pharmassist #nurse #ernurse #covid #kkm #sueffiattire #tailoringservice #otscrub #bajuskrub 1TP5 Urgence #bajuscrub
...

1 0

Zaidi ya yote, nia yangu kwako ni hii : Kwamba siku zako za giza za kutisha zinapokuja, utajua hauko peke yako. Maumivu yatakuambia ukae kimya, lakini huo ni uwongo. Maisha ni dhaifu na sote tunavunjika kwa njia tofauti. Natumai unajua unaweza kuwa mkwel na kusema yanayokusibu. Natumai unajua kuwa unaweza kuomba msaada. Je, unafaham hilo ? Ni sawa kabisa kuomba msaada. Na haimaniish kuwa wewe n dhaifu, Inamaanisha tu kuwa wewe ni mwanadamu. Msaada ni wa kweli na inawezekana ; watu hutafuta msaada kila siku. Haupo pekee ako, na pia watu wanahitaji watu wengine kweny maisha ni jambo la kawaida.

"Afya ya akili ni Tiba ya Kisaikolojia ni haki kuu ya Binadamu".

#santémentale #sensibilisation à la santémentale #soins personnels #amour de soi 1TP5Anxiété #amour #santémentalematiers #dépression #motivation #santé #bien-être #pleine conscience #healing #fitness #vie #loveyourself 1 TP5Tthérapie #inspiration #happiness #mindset #positivité #positivevibes #quotes #méditation #maladie mentale #psychologie #bien-être #récupération #instagood #happy
...

11 0

Kila mwaka wazanzibari husafiri kwenda India na kwenginenko kwa upasuaji wa Mifupa na Uti wa mgongo.
Tunaelewa kuwa hii inaweza kuwa changamoto kwa watu wengi kwa sababu ni chaguo ghali zaidi kuliko upasuaji wako kufanywa hapa Zanzibar.
Hii ndiyo sababu Ampola Tasakhtaa Hospital tumealika madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa kutoka Cuba à Dubaï kuja kuwasaidia wagonjwa wetu wote kwa matibabu wanayohitaji.
huduma itaanza tarehe 11 - 17 Disemba 2023, il kufanya kambi ya kina wa nyonga na mifupa.
1 : Uchunguzi
Uchunguzi ni hatua muhimu zaidi katika matibabu. Huu ndio utaratibu ambao utawawezesha madaktari kuelewa na kupima hasa tatizo liko wapi na kisha kuamua juu ya asili na muda wa upasuaji.
2. Upasuaji
Kulingana na uchunguzi uliofanyika, madaktari watapanga ratiba ya kufanya upasuaji kwa wagonjwa.

Kambi nzima imeandaliwa na Ampola Tasakhtaa Hospital kwa kuzingatia mahitaji ya wagonjwa. Tunaamini katika kutoa huduma bora na matibabu kwa kila mtu ambaye anaweka imani yake kwetu. Tuko hapa kutoa huduma kamili na njia sahihi ya kupona kwa wagonjwa wetu.

KAMBI ITATOA MATIBABU KWA WAGONJWA WAFUATAO :
1. Maumivu ya Shingo
2.Maumivu ya mgongo
3. Taratibu za Upasuaji wa Mgongo
4. Matatizo ya Uti wa Mgongo

KWA NINI UJE KAMBINI?
Maumivu ya mgongo ni jambo ambalo linajidhihirisha katika 67% ya raia wa Kiafrika na karibu 72% ya idadi ya watu duniani. Ingawa sababu za udhihirisho kama huo zinaweza kuanzia kasoro za kuzaliwa hadi majeraha yaliyopatikana kwa muda, ni muhimu sana kutibu kwa njia sahihi kwa wakati unaofaa. Kupuuza maumivu ya mgongo na matatizo mengine ya mgongo kama vile kukakamaa na mionzi ya maumivu kunaweza kufanya hali kuwa mbaya zaidi.

Ikiwa unaona mojawapo ya dalili zifuatazo, lazima uzungumze na wataalamu wetu :
1. Maumivu ya muda mrefu ya mifupa
2. Maumivu yanayotoka nyuma kuelekea miguu
3. Ugumu katika mgongo wa juu
4. Maumivu ya asubuhi
5. Hisia ya jumla ya uchovu au uvivu kwa sababu ya mgongo
6. Maumivu makali kwenye bega
...

8 0

Kwetu maoni/shuhuda nzuri au mbaya tunazichukua na kuzifanyia kazi.
Tunaendelea kupokea maoni yenu kuhusu huduma zetu.

#serviceclient #expérienceclient #satisfactionclients #affaires #client #clientheureux #appréciationclient #marketing #petite entreprise #ventes #commentaires clients #révision #avisclient #service #amour # feedback #reviews #happycustomers #customers #testimonial #customercare #follow #entrepreneur #instagood #thankyyou #callcenter #technology #fashion #realestate #work
...

22 0
Couvercle pour Ampola Tasakhtaa Hospital
2,163
Hôpital Ampola Tasakhtaa

Hôpital Ampola Tasakhtaa

Meilleur hôpital super spécialisé pour un traitement de qualité à un coût abordable

Icônes SVG de la boîte de commentairesUtilisé pour les icônes J'aime, Partager, Commenter et Réagir
Il y a 2 semaines
Hôpital Ampola Tasakhtaa

Ndugu tunaomba kura yako kwa wataalamu wetu hawa, tunatanguliza neno asante na kusema kura yako ni muhimu sana.

1. Salma Ali Rashid (Femme dans le domaine de la santé)
2. Dr Ahlam (Femme dans le domaine de la santé)
3. Dr Ahlam (Femme de science)

Lien Bonyeza hii hapa zwrawards.co.tz/vote/ ili uweze kuwapigia kura.

Ikulu Zanzibar Wizara et Afya Zanzibar @zwrawards
... Voir plusVoir moins

Il y a 2 semaines
Hôpital Ampola Tasakhtaa

Chaque année, notre hôpital Ampola produit des managers gagnants, synonymes d'une entreprise véritablement dédiée au développement des compétences relationnelles de chaque employé et axée sur la stratégie humaine. L'hôpital Ampola est l'approche d'une entreprise pour recruter, fidéliser et engager sa main-d'œuvre afin de l'aligner sur ses réalisations.

#executive #business #luxury #ceo #b #leadership #forsale #money #cars #boss #lagos #sales #nigeria #a #luxurylifestyle #exclusive #auto #success #vente #work #motivation #affordable #ambition #hustle #entrepreneur #autosale #buyacar #carsale #autosalenaija #toyota@uwesu_saidtz @yunus_mwarab @calzavara.luca
... Voir plusVoir moins

Il y a 2 semaines
Hôpital Ampola Tasakhtaa

Moja ya jukumu la hospitali binafsi ni kusaidia juhudi na kutekeleza sera za afya ya serikali, sera kubwa ni kuhakikisha wananchi wanapata afya bora na elimu ya kujikinga na maradhi ou ili waweweze kufanya shughuli za uzalishaji na kupelekea ustawi wa familia hadi taifa kiuchumi.

Tunawashukuru taasisi ya uhamiaji ofisi za makao makuu unguja zanzibar kwa kukubali ombi letu la kuwatembelea na kutoa elimu ya masuala ya afya ya akili, lishe bora na tulifanya uchunguzi wa macho kwa baadhi ya watumishi waliopata nafasi kuhudhuria.

Sisi kama ampola tasakhtaa hospitali kitengo cha masuala ya kijamii tumejiwekea utaratibu kila mara kutoa huduma hizi na zenginezo kama kambi mbalimbali za madaktari bingwa kwa jamii bure bila malipo ili kusaidia jamii kujua hali zao za afya na kuweza kuchukua hatua mapema za ku anza matibabu pâle watakapokutwa na shida .

Na nitoe wito/taarifa kwamba mwezi wa 12 tunatarajia kuwa na kambi ya siku saba ya madaktari bingwa wa mifupa kutoka quba, dubai na hapa nyumbani wakitoa huduma bure za uchunguzi wa matatizo ya mifupa bure na matibabu yatakayofanyika kwa bei pungufu. Kambi hii itafanyika hapa ampola eneo la wazi ambapo kutawekwa mahema kuanzia tarehe 11 hadi tarehe 17 mwezi 12. Atakayepata taarifa hii amjulishe na mwenzake. Kwa mawasiliano piga 0778 679 414 au fika ampola hospifali idara ya masoko ujiandikishe mapema.
... Voir plusVoir moins

3 semaines plus tôt
Hôpital Ampola Tasakhtaa

Watu huchukua umiliki wa ugonjwa na maradhi kwa kusema mambo kama vil shinikizo langu la damu, KISUKARI changu, ugonjwa WANGU wa moyo, mfadhaiko WANGU, WANGU ! YANGU ! YANGU ! Usiimiliki kwa sababu sio yako.

Kwa pamoja, tunaweza kuleta mabadiliko katika vita dhidi ya kisukari. Tuhamasishe, tutetee upatikanaji wa matunzo, na tuwasaidie wanaoishi na kisukari.

Ampola tumeweka kambi ya kufanya upimaji wa ugonjwa kisukari na elimu ya lishe bora kwa wagonjwa wa kisukari na shinikizo la Damu.

#diabète #type #journéemondialedudiabète #t #diabetesawareness #diabetestype #diabetesawarenessmonth #diabetesmanagement #diabetescare #diabetesdiet #diabetic #diabetestipo #diabetesprevention 1 TP5Td #diabetesfood #diabeteslife #diabetescommunity #gestationaldiabetes #diabetessupport #typeonediabetes #diabetesmellitus #prediabetes #obatdiabetes #wdd #diabetessucks #diabetesuk # diabèteéducation #diabeticrecipes #diabetesempowered #diabetestyp
... Voir plusVoir moins

3 semaines plus tôt
Hôpital Ampola Tasakhtaa

Watu huchukua umiliki wa ugonjwa na maradhi kwa kusema mambo kama vil shinikizo langu la damu, KISUKARI changu, ugonjwa WANGU wa moyo, mfadhaiko WANGU, WANGU ! YANGU ! YANGU ! Usiimiliki kwa sababu sio yako.

Kwa pamoja, tunaweza kuleta mabadiliko katika vita dhidi ya kisukari. Tuhamasishe, tutetee upatikanaji wa matunzo, na tuwasaidie wanaoishi na kisukari.

Ampola tumeweka kambi ya kufanya upimaji wa ugonjwa kisukari na elimu ya lishe bora kwa wagonjwa wa kisukari na shinikizo la Damu.

#diabète #type #journéemondialedudiabète #t #diabetesawareness #diabetestype #diabetesawarenessmonth #diabetesmanagement #diabetescare #diabetesdiet #diabetic #diabetestipo #diabetesprevention 1 TP5Td #diabetesfood #diabeteslife #diabetescommunity #gestationaldiabetes #diabetessupport #typeonediabetes #diabetesmellitus #prediabetes #obatdiabetes #wdd #diabetessucks #diabetesuk # diabèteéducation #diabeticrecipes #diabetesempowered #diabetestyp
... Voir plusVoir moins

Charger plus

Nouvelles

fr_FRFrench